Acts 3:22

22 aKwa maana Musa alisema, ‘Bwana Mwenyezi Mungu wenu atawainulia nabii kama mimi kutoka miongoni mwa ndugu zenu. Itawapasa kumtii huyo kwa kila jambo atakalowaambia.
Copyright information for SwhKC